Dawa ya VUMTREX SYRUP 40mg/5ml

emoshi

Member
Apr 2, 2011
28
1
Wana Jf hii dawa ya minyoo ni nzuri sana au maana kuna mtu kaniambia nitumie sasa imebidi niombe ushauri kwenu kwa wanaoijua vizuri. Thankx
 
VUMTREX SYRUP KWA JINA JINGINE INAITWA LEVAMISOLE HCL kwa ujumla ni salama na effective kwa minyoo aina ya nematoda inafanya minyoo wana kufa ganzi na pia inatabia ya kuchochea kinga za mwili kutolewa. kwa upande mwingine huwa ina madhara kama

kutapika
kuharisha
kukoswa hamu ya kula
allergy
Hairuhusiwi kutumiwa kwa mtu mwenye
ugonjwa wa ini
kifafa
ujauzito
mywaji wa pombe
cha msingi onana dactari

pia hutumika mara nyingi kutibu minyoo kw wanyama na samaki
na ni dawa inayotibu cancer

cha msingi onana na dactari ,rafiki ili upate ushauri na vipimo.
 
VUMTREX SYRUP KWA JINA JINGINE INAITWA LEVAMISOLE HCL kwa ujumla ni salama na effective kwa minyoo aina ya nematoda inafanya minyoo wana kufa ganzi na pia inatabia ya kuchochea kinga za mwili kutolewa. kwa upande mwingine huwa ina madhara kama

kutapika
kuharisha
kukoswa hamu ya kula
allergy
Hairuhusiwi kutumiwa kwa mtu mwenye
ugonjwa wa ini
kifafa
ujauzito
mywaji wa pombe
cha msingi onana dactari

pia hutumika mara nyingi kutibu minyoo kw wanyama na samaki
na ni dawa inayotibu cancer
Je anaweza tumia mtoto chini ya mwaka mmoja!?
 
Back
Top Bottom