Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

Inakuaje wakuu ,Nina rafiki yangu alitumia vumbi la Kongo baada ya kuvutiwa na maelezo ya rafiki yake.

Sasa sijui alilipakaje ile mwanamke anamtaka aingize dushe lakini haisimami kabisa ikabidi mwanamke aishike shike lakini wapi iligoma kabisa.

Kuanzia siku hiyo hadi Leo dushe lake haisimami Kama miezi 7 sasa,marafiki zake waliangaika kwa maustadh lakini hakuna nafuu yoyote.

Je,tatizo ni nini? Kabla ya kutumia Vumbi la Kongo alikua fresh kabisa ila alipolitumia ndo matatizo yakatokea.
 
Pole sana Mkuu. Huenda vumbi limeunguza neva za fahamu kwenye kichwa cha dushe. Nenda hospitali unaweza kupata msaada zaidi. Watu wajifunze kukurupukia vitu kwenye maeneo sensitive kama kichwa cha dushe, machoni, masikioni, puani na mdomoni. Ni hatari sana
 
Shukrani mkuu nitamueleza.

Kwa kweli anatia huruma Sana,wenzie tunapiga show kwa kawaida bila vumbi la Kongo.
 
Mmmmh kumbe dada zetu wanavumilia mengi sana ndani ya ndoa.

Hiyo dawa inatokana na nini? imetengenezwa na vitu gani?
 
ina majina mengi ya utani, wakongo wa kutokea lubumbashi huita "putuluu" au kasongo mundende.

ila tahadhari tu, ipo fake.
 
mimi ninayo kunamwamba alinipa lkn cjawah kutumia kwani naogopa isije sababisha nikavunja mpini bure . kwani kawaida mwanaume anatakiwa kufika kwa dakika kuanzia ngapi ?
maana cio kutumia tu kwa kufuata mkumbo
 
Nice comment mkuu well said. Na ikitokea hali kama hiyo, vitu kutibu ili kurudi sawa kama zamani? Waweza nisaidia kwa kunitolea ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vp maendeleo ya rafiki ako? Sorry for late respod aisee. Unaweza kuni PM tafadhali. Kuna jamaa angu pia ni muhanga wa hilo vumbi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo atakua na tatizo lingine tu ganzi la vumbi la congo haliwezi kukaa muda wote huo,zile seli za kwenye kichwa cha mboo huwa zina jireplace haraka sana

Mwambie ajaribu kutumia neuroton ile dawa ya kuua ganzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kitu kinatoka mgongoni..

Jr
 
Q
We jamaa muongo Sana Vumbi la Kongo linazuia kukojoa haraka Sasa huyo na mabao 13 wapi na wapi????
Kwa wasio jua Congo Dust kazi yake Ni kukipiga ganzi kichwa Cha mboo ili usikojoe haraka haihusiani na mboo kusimama Kabisaaa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…