Dawa ya vidonda vya tumbo

Dawa ya vidonda vya tumbo

lesleswng

Member
Joined
May 3, 2023
Posts
96
Reaction score
296
Jana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia
Kwahiyo ndugu zangu kwa wale mnaohangaika na gas, vidonda vya tumbo mnaweza kufika pale muhimbili na kujaribu dawa hii wengi wana sema wanapona na wanakula kila kitu
Mungu atusaidie tuondokane na mateso yao bila kusahau kufata masharti ya ulaji na unywaji asanteni
 
Attachments

  • 20250605_140947.jpg
    20250605_140947.jpg
    905.8 KB · Views: 36
Binafsi niliitumia sana Haikunisaidia.
Dose ilikuwa Chupa Saba kama sikosei 2022 chupa ilikuwa Tsh 6000.

Nilimtafuta chakua chakua ndio Daww yake ilinisaidia.

No reforms no election
 
Jana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia
Kwahiyo ndugu zangu kwa wale mnaohangaika na gas, vidonda vya tumbo mnaweza kufika pale muhimbili na kujaribu dawa hii wengi wana sema wanapona na wanakula kila kitu
Mungu atusaidie tuondokane na mateso yao bila kusahau kufata masharti ya ulaji na unywaji asanteni
Kwanini dawa? Badilin mtindo wa ulaji mambo yanakaa sawa
 
Binafsi niliitumia sana Haikunisaidia.
Dose ilikuwa Chupa Saba kama sikosei 2022 chupa ilikuwa Tsh 6000.

Nilimtafuta chakua chakua ndio Daww yake ilinisaidia.

No reforms no election
Sawa ngoja mm nitumie nione hali itaendaje
 
Habari zenu wana jamvii naomba kueleweshwa kdg kwa anaelewa huu ugonjwa wa vidonda vya tumbo je kuna dalili nyengine ambazo zitakuonesha unaumwa na vidonda vya tumbo bila tumbo kuumwa?
 
Ndiyo.
Kichefuchefu au kutapika,tumbo kujaa gesi,vichomi tumboni hasa wakati wa usiku au ukichelewa kula,kupoteza hamu ya kula,kuhisi kitu kimekwama kooni ,kifua kuchoma ikiambatana na maumivu sehemu za ubav u kiuno mpaka mgongo,kuharisha kinyesi cheusi na kutapika damu.
 
Ndiyo.
Kichefuchefu au kutapika,tumbo kujaa gesi,vichomi tumboni hasa wakati wa usiku au ukichelewa kula,kupoteza hamu ya kula,kuhisi kitu kimekwama kooni ,kifua kuchoma ikiambatana na maumivu sehemu za uba u kiuno mpaka mgongo,kuharisha kinyesi cheusi na kutapika damu.
Asante sana nimeelewa vitu vingi sana
 
Zipo hata uchovu ni dalili Moja wapo
Kizunguzungu
Gesi tumboni yani Ile ukila kidogo umeshiba
Tumba kupata moto hasa kwenye Kuta
Kupumua kwa shida
Ndoto mbaya usiku
Constipation
Kuhisi homa
Hofu ya kifo (uoga)
Kupungua umakini n.k
 
Nyongeza.
Jinsi ya kuepuka vidonda vya tumbo
1. Epuka kuchangia vikombe , vijiko , ambavyo havijaoshwa vizuri, epuka kunyonyana denda
2. Kunywa maji safi yaliyotibiwa, matunda na mboga mboga vioshwe vizuri
3. Kuwa na utaratibu mzuri wakula
4. Epuka matumizi holela ya vitu vyenye acid kali
5. Punguza stress

kuhusu Dalili hapo juu wameeleza
Matibabu
Matibabu ya vidonda vya tumbo hufuata baada ya kujua chanzo
 
Ahsante sana
 
Nakushkuru na nitafata maelekezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom