GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,299
Kwahiyo mkuu saizi unatumia hata soda na maharage?Kama vp ifanye iwe siku kumi na nne kama Mimi.Umetumia siku ngapi hadi saivi
Kwahiyo mkuu saizi unatumia hata soda na maharage?Kama vp ifanye iwe siku kumi na nne kama Mimi.Umetumia siku ngapi hadi saivi
Tangia mwezi wa Tisa nagonga vitu vote[/QUOTE]Tanga ="GUI, post: 18651831, member: 393297"]Kwahiyo mkuu saizi unatumia hata soda na maharage?
Nashukuru mkuu kwa kunipa hamasa maana nateseka sanaGUIZungaria 18652001 said:Tangia mwezi wa Tisa nagonga vitu vote
Cha muhimu zingatia Dawa na usisahau magnesium[/QUOTE]Nashukuru mkuu kwa kunipa hamasa maana nateseka sana
Mkuu najuaje sasa hapo? Maana mimi nimepima kwa kupiga x- ray, kwenye damu nilipima hakuna kituTambua Kwanza nini tatizo la vidonda vyako? Bacteria au Acid?
Ndo naweza kukupa ushauri unaoweza komesha hilo tatizo
Dozi yake ni sh ngap maana na mm uwaga tumbo linazingua na nimeshatumia dawa nying za hosp lakin ola.Yeah mm mwenyewe nmetumia H pylor kit niko poa sana
Ukiwa na Shida yoyote ileHabari ndugu wana bodi!!!
Najua hili huenda litakuwa lilishawahi kuulizwa hapa lakini na mimi na penda kuuliza maana nimegundulika kuwa na hili tatizo, nimepewa dawa ya kutumia inaitwa HERIGO na nimeaza kuitumia.
Kinachonipa wasiwasi ni kuwa watu wengi nilioongea nao wenye hili tatizo wanadai wametumia dawa nyingi lakini hawajapona na nyingi ni kwa ajili ya kupooza tu maumivu.
Sasa naomba kwa wataalamu wa haya mambo mtujuze kuna dawa inayotibu kabisa? Na kama ipo ndio hiyo niliyopewa au ni nyingine? Na kama ni nyingine inaitwaje?
Kula kabichi kwa wiki 2 mfululizo. Unaweza kula bichi, kutengeneza juice, salad, kulipika kama mboga. Unaweza kula pekee au kuchanganya na mboga nyengine kama carrots. Kula Ndizi mbivu. Maziwa ya Mbuzi. Epuka alcohol na sigara kama unatumia.
Poa mkuuUkiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Hii dawa inaoneka ipo vizuri mimi pia ilinisaidia sana saivi nagonga menyu za wahindi kama kawaidaMi nilitumia H pylori kit sijui ndio hiyo ama lah ila Niko poa.Ilikuwa ni dozi ya siku kumi na nne
Kama zinakusumbua tumia juice ya kabichi inasaidia sanaa.Mkuu hapo kwenye ndizi mbivu mbona balaa? Mimi nikila ndo vidonda vinachachamaa.
Unamaanisha pili pili mkuu?Hii dawa inaoneka ipo vizuri mimi pia ilinisaidia sana saivi nagonga menyu za wahindi kama kawaida
Ndio MkuuUnamaanisha pili pili mkuu?