dawa ya vibarango vya usoni kwa watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dawa ya vibarango vya usoni kwa watoto

Discussion in 'JF Doctor' started by charminglady, Aug 30, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hali zenu, kuna dogo hapa home katokewa na vibarango usoni na kila siku vinazidi kusambaa. dawa yake ni nini na chanzo ni nini? please MziziMkavu na dr. Riwa help. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kuna dawa inaitwa Sonaderm, ni nzuri sana kwa magonjwa ya ngozi, nenda pharmacy ukaulizie.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Ungelimpeleka kwanza Hospitali wakamtibu ikishindikana hajapona ndio waweza kuja hapa na kuulizia Dawa yake nini ? sasa hujampeleka hata Hospitali mkuu.@charminglad unakuja kuulizia dawa yake ni nini huyo mtoto mgonjwa? Samahani kama nitakukwaza.
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  asante kwa ushauri!
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Umesha mpeleka Hospitali huyo mtoto bibie charminglady
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...