DAWA YA UPWEKE NI NDOA

NI kweli kabisa mkuu hiyo coulumb's law inafanya kazi kweli kweli ni mwendo kama wa MAGNETIC na ndoa ipo hivyo nakiri hilo.. ndio mana watu wanashauri sjui ukitaka kuolewa kijana olewa na baba..au mwanamke olewa na mtu aliekuzidi wasichoelewa n kwamba unapoolewa na mtu aliekuzidi Tayari automatic hamtokaa muwe sawa kifkra na kimawazo.

Yule atakuzidi so chchte atachosema utaamini kwakua kakutangulia atakua yupo sahihi..ile obidience kwa mume inafanya mzidi kuwa pamoja..ila hii ya kuoana mama ana miaka 25 baba 25 wote MUCH KNOW asee kweli mkuu hapo ndoa hamna.

Ndoa mkilingana tu kwenye Tabia..hamdumu.
 
Kama mchukuliwa anaona sawa kuchukuliwa kwann asichukuliwe, kwann watu wafanye maamuzi magumu wakati kuna urahisi[emoji16][emoji16]
Hayo maamuzi mepesi yatawacost.
 
Yes mkuu.

Umri haumati kwa sababu kinachomata ni tabia.
Mume anaweza kuwa na umri mdogo lakini akawa anajitambua sana na amekulia malezi tofauti na mke.Na mke akiwa anajitambua pia inasaidia.
 
Sawa umesema pesa haimfanyi mwanamke kuwa juu ya mwanaume ila naomba nikuulize swali kwani ni kipi kinachomfanya mwanaume kuwa juu ya mwanamke?
 
Hayo maamuzi mepesi yatawacost.
Yatawacost kina nani? Tatizo huwa mnajifanya kama watoto wasio na uwezo wa kufikiria. KE ambao wanatumia akili zao na kufanya maamuzi wanayoyataka always hupata wachachokitaka. Msipo tumia akili zenu mtaishia kutumika kirahisi rahisi tu na watu rahisi rahisi[emoji3][emoji3]
 
Dogo mbona umepanik?
We subiri tu siku akianguka ndio utajua wanatumia maji au la!!
 
Sawa umesema pesa haimfanyi mwanamke kuwa juu ya mwanaume ila naomba nikuulize swali kwani ni kipi kinachomfanya mwanaume kuwa juu ya mwanamke?
Uhangaikaji na mateso anayopitia kuhakikisha mke na watoto mnabaki salama na kupata mahitaji yote muhimu bila kujali naleta sh ngapi na mama unaleta sh ngap..misoto kwa ujumla.
 
Dogo mbona umepanik?
We subiri tu siku akianguka ndio utajua wanatumia maji au la!!
Aisee! Basi endeleeni kutumika ipo siku mtaanguka na kukomoa wanaopenda vitu rahisi..[emoji23][emoji23]
 
Uhangaikaji na mateso anayopitia kuhakikisha mke na watoto mnabaki salama na kupata mahitaji yote muhimu bila kujali naleta sh ngapi na mama unaleta sh ngap..misoto kwa ujumla.
Baada ya ile misoto wanaume hutaka wakirudi nyumbani waskutane na shurba tena kama zile za mitaani/kazini alizokutana nazo... Edelyn
 
Uhangaikaji na mateso anayopitia kuhakikisha mke na watoto mnabaki salama na kupata mahitaji yote muhimu bila kujali naleta sh ngapi na mama unaleta sh ngap..misoto kwa ujumla.
Sawa uko sahihi kabisa na ndo maana nikakuuliza kwa zile ndoa ambazo mwanamke ndo anafanya hayo majukumu yote ya baba wakati baba yupo je mwanaume bado anastahili kuwa juu ya mwanamke? Kumbuka ndoa kama hizo zipo
 
Sawa umesema pesa haimfanyi mwanamke kuwa juu ya mwanaume ila naomba nikuulize swali kwani ni kipi kinachomfanya mwanaume kuwa juu ya mwanamke?
Habari za mchana mdogo wangu!
 
Halafu hapa haujanijibu mkuu Perimeter
 
Sawa uko sahihi kabisa na ndo maana nikakuuliza kwa zile ndoa ambazo mwanamke ndo anafanya hayo majukumu yote ya baba wakati baba yupo je mwanaume bado anastahili kuwa juu ya mwanamke? Kumbuka ndoa kama hizo zipo
Hapana kwa kweli...ndoa ambazo mwanaume yeye anashinda kwenye draft mwanamke anapambana na vitumbua na kuuza genge na akirudi apike afue..Heshima hapo inatakiwa iwe kwa mwanamke maana anapitia magumu aliyotakiwa apitie mwanaume.
 
Haya vipi na zile ndoa ambazo mwanaume anatafuta pesa na kuhudumia watoto tu hafanyi kazi za nyumbani wala halei watoto halafu mwanamke anatafuta pesa anahudumia watoto anafanya kazi za nyumbani na analea watoto nani hapo anafanya majukumu mengi na nani hapo anastahili kuwa juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…