Dawa ya Ukimwi ikipatikana.....

Dawa ya Ukimwi ikipatikana.....

payuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
829
Reaction score
128
Nafikiri dawa ya Ukimwi ikipatikana:
  1. Kuna baadhi ya NGOs za Kitaifa na Kimataifa zitakufa....na watu wengi watapoteza ajira
  2. Ma-handsome boys na ma-sister duh! waliokuwa wakinyooshewa vidole kwa sababu za KaUgonjwa watarudi kwenye Chati
  3. Vitendo vya ubakaji nahisi vitaongezeka .....sababu watu watakuwa hawana hofu tena
  4. Viwanda vya kondom vita-dorora .....mauzo yatashuka kwa kasi ya ajabu!
  5. Watumishi wa Mungu( Mapadri, Maaskofu, Mashehe) ....waliokuwa wanahubiri kwamba dawa ya Ukimwi haitapatikana kwa sababu zama hizi ni za mwisho sijui wataficha wapi nyuso zao!
Tafadhali endeleze hii list.....
 
Back
Top Bottom