Wewe hujasikia yaliyojiri huko Dodoma, kauli yako inaweza kubadilika na kuwa dawa ya hao wote waliokwisha tangaza nia ni Mwigulu, na kesho kauli inaweza kubadilika tena. Bado mapema tuwape muda kwa sababu katika wale wote waliotangaza nia bila kujali umaarufu wa kila mmoja wao mwisho wa siku atatakiwa atabaki mmoja, upo hapo