Hahahahah nadhani humjui sheikh Ponda, hata siku moja hana uhusiano na waandishi wa habari wenu! Yeye anatumikia maslahi ya Waislamu tu! [/QUOTE
sawa kabisa.
Mbona waislamu wengine hawamtambui..??Hahahahah nadhani humjui sheikh Ponda, hata siku moja hana uhusiano na waandishi wa habari wenu! Yeye anatumikia maslahi ya Waislamu tu!
Mbona waislamu wengine hawamtambui..??
hiyo siyo dawa ila dawa yake ni kusikiliza anachokizungumza kwani lipo jambo la msingi analozungumza!!!
sawa kabisa ila hiyo ni njia ngumu.mi napendekeza apandikizwe kansa ya damu.asirudi uraiani huyo
Dawa ya Ponda ni kama anavyofanyiwa hivi sasa. Kumkamata na kufunguliwa mashitaka huku serikali ikimtafutia pasi ya kwenda kumbwaga huko kwao Darfur kwa wanaharakati haramu na magaidi. Wanaomsikiliza Ponda waangalie tu, utakuta wengi wao ni wapuuzi na hawana elimu huku wakililia waajiriwe serikalini. Yaani mtu huna elimu na pengine hata kuunganisha sentesi hujuwi unataka ajira, ukiulizwa una kigezo gani....oh najuwa kusoma Quran, seriously?
Kwa hiyo wenye elimu,ni hao waliotufikisha hapa kwenye umaskini wa kutupwa?Dawa ya Ponda ni kama anavyofanyiwa hivi sasa. Kumkamata na kufunguliwa mashitaka huku serikali ikimtafutia pasi ya kwenda kumbwaga huko kwao Darfur kwa wanaharakati haramu na magaidi. Wanaomsikiliza Ponda waangalie tu, utakuta wengi wao ni wapuuzi na hawana elimu huku wakililia waajiriwe serikalini. Yaani mtu huna elimu na pengine hata kuunganisha sentesi hujuwi unataka ajira, ukiulizwa una kigezo gani....oh najuwa kusoma Quran, seriously?
imenenwa,auwae kwa upanga ,naye atauliwa kwa upangaHuyo dawa ni risasi tu.
Hahahaa.. Mkuu mbona na wewe umepost kuhusu yeye? Watu wanazifuata wenyewe habari zake ndo maana na hii post yako tumeifuata!!!
Watu wanazifuata habari zake, sio kwa sababu anaongea vitu vya maana sana, ila kwa sababu anahamasisha mambo yanayo weza kuvuruga amani ya Tanzania, watanzania wanao ogopa sana machafuko, kwa bahati mbaya sana watz walio wengi sasa wanamuhusisha huyu mtu na machafuko, there4 kwa vyovyote vile watu lazima watake kusikia kuhusu mihadhara yake, na kwa sababu ameshalijua hilo basi kila siku stori zake ndio hizo hizo ila ni mwepesi sana