Dawa ya Oral thrush inahitajika

slab

Senior Member
Sep 12, 2013
119
27
Msaada wakuu,

Dawa gani atumie mtu mwenye umri wa miaka 24 mwenye oral thrush?
 
Aende hospitali.

Kwa huduma ya kwanza atumie hydrogen peroxide mouthwash 3%, kisha aende hospitali, maana oral thrush inaweza kusababishwa na vitu vingi, pia inaweza kuwa dalili ya magojwa mengi ikiwemo saratani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom