Kwakweli this is the Most lovely thread ....ukiwa na hofu ya Mungu ndani yako,hata mabaya utaona aibu kuyafanya......
Huwa natamani sana sana kupata mtu mwenye Kumuogopa Mungu,huyo atajiheshimu hata katika matendo..
Poor this world,tumejaa tuliompa mgongo muumba,Atunusuru tu
Very true,asiyeielewa hii thread kwakweli ,.....ndo basi tenaDhahiri kutembea mbele ya macho ya Mungu ni kuwa mwangani, lakini kumweka kando Mungu ni sawa na kujiruhusu kutembea gizani ambako ni ulimwengu wa ibilisi. Yatakayojilia gizani utayaonaje wakati mwanga unaokumulika kwa usalama wako umeuacha? Hatima na kudondoka na kuangukia pua au kifo cha mende.
ICHANA Hata mimi nakubaliana naye uzi unaafya
Je unayazingatia hayo?