DAWA YA MWANAMKE MWENYE GUBU/MSUMBUFU

Mwanamke anapenda gar kama kazaliwa ndan ya ambulance.. Sasa hiyo ndio dawa yao tu
 
Hahahahahahaha

Hivi mnajua mwanamke mwenye gubu ni bora na heri kuliko mwanaume mwenye gubu......

Maana kukutia hakutii anakupa minyege tuu na kelele zisizoisha. ......

Heri niwe pekeyangu. ... heri niwe pekeyangu......
Heri niwe peke yangu baba..... heri niwe peke yangu. ....
 

Yereuuuuuuuuuwi... Dada kasi mbona unanijia na mapya...
 
Mh! Kama hakutii basi atakuwa na tatizo jingine sio gubu... Huenda uliempenda si riziki...
 
hyo safety belt ajaribu yeye mwenyewe maana ya kwake nyingine na yangu nyingine gari gani ina safety belt tofaut
 
Ni PM tuweke mambo sawa...
 
HALELUYAAH..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…