Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 312
Hi members!
nimefanya utafiti kidogo uliojumuisha wasichana na wanawake kumi ninaofanyanao kazi na mke wangu nyumbani nimegundu kuwa mke wako akiwa amekasilika mpaka mkashindwa kuelewana jaribu kum-bembeleza kadri uwezavyo ufanye nae mapenzi na ukibahatika kufanyae liwe penzi la ukweli ukimaliza hapo hasira zake zote zimeisha atabaki kukwambia usirudie tena ulichofanya.
jana nilihitimisha utafiti wangu baada ya kutoelewana na mke wangu kwa sababu alikuwa na habari ambazo alikuwa na uhakika nazo kwa 70% kuwa nainauhusiano na mwanamke mwingine; kiukweli taarifa hizo ni kweli ingawa sijawahi kufanya mapenzi na huyo mwanamke.
chumbani kulikuwa hakukaliki mke wangu alikuwa ananipiga na huku akimpigia simu mwanamke huyo ambae nahisiwa nae, mbaya zaidi mwanamke huyo alikuwa anasema habari hizo ni za kweli na kumtajia mida tunayokutana na mahaba tunayo peana ingawa kiukweli havikuwa vitu vya ukweli.
nilimwacha mke wangu anipige na baadae nikambembeleza na nikamtaka mapenzi akasita sita na baadae akanipa baada ya kale kamchezo katamu tulipiga stori safi, kama siye yeye.
wana JF give your exp.