Kama wewe ni mkiristo na una mke mkorofi na umechoka naye ila ukifikiria kumwacha unashindwa kwa vile divorce hairuhusiwi katika christian marriage, jaribu kufanya hivi: mwambie kuwa umefikiria na kuamua kubadili dini. usipoteze muda waone wahusika usilimishwe. hatakataa wewe kubadili dini kwa vile ni haki yako. utakapokuwa converted baada ya muda mwambie dini yako inaruhusu kuoa mke wa pili na una uwezo wa kuwatunza wote. bila kupoteza muda tafuta umpendaye na funga ndoa. Huyo mkorofi atakuwa bi mkubwa na bi mdogo ni huyo mpya. Kama Bi mkubwa atastahimili huo ukewenza ukorofi utakuwa umeisha, lakini uwezekano ni kuwa atafungasha na kutokokomea ajuako yeye. utabaki na Bi mdogo ambaye with time we mwambie umetafakari na kuona huna budi kurejea ktkt dini yako ya awali. chukua hatua haraka na rudi kundini hapo utakuwa umeondokana na kelele. technical divorce!!!! mnasemaje hapo wanaJF?
ushauri mzuri sana huo hasa kwa akina mama wababe,fasta unabadilisha dini then unaoa halafu yeye anakuwa mke wa pili,du!!! lazima asepe akitimua una rudi kwenye dini yako fasta ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!! SAFI SANAmke mdogo akiwa mkorofi kuliko mke mkubwa utafanyaje? wewe naee!
mke mdogo akiwa mkorofi kuliko mke mkubwa utafanyaje? wewe naee!
Hahahahahaaaahatwetweeee!!!!!!!? Kwa hiyo mke akaendelea na majukumu yote hata yale ya usiku?Inanikumbusha story moja ambapo, Mume alimuonea wivu Mke wake akidhani, house wife huwa hawana kazi. Hivyo akamwomba Mungu ambadilishe awe mwanamke kwa siku moja tu, ili Mke wake nae aende ofisini aone wanaume wanavyofanya kazi ngumu. Mungu mwenye wingi wa REHEMA akamsikia na akambadilisha akawa Mwanamke... Baada ya kumaliza kazi zote na kuandaa nguo za Mzee na Uniform za watoto kwa ajili ya kesho yake, ilikuwa saa 5 usk. Akapanda kitandani akalala na Mumewe...
Kesho yake akasema. No... Kumbe wanawake wanafanya kazi nyingi sana bora nimuombe Mungu, nirudie kuwa mwanamme.. MUNGU akamwambie, SORRY.. Inabidi usubiri miezi tisa kwanza....
Inanikumbusha story moja ambapo, Mume alimuonea wivu Mke wake akidhani, house wife huwa hawana kazi. Hivyo akamwomba Mungu ambadilishe awe mwanamke kwa siku moja tu, ili Mke wake nae aende ofisini aone wanaume wanavyofanya kazi ngumu. Mungu mwenye wingi wa REHEMA akamsikia na akambadilisha akawa Mwanamke... Baada ya kumaliza kazi zote na kuandaa nguo za Mzee na Uniform za watoto kwa ajili ya kesho yake, ilikuwa saa 5 usk. Akapanda kitandani akalala na Mumewe...
Kesho yake akasema. No... Kumbe wanawake wanafanya kazi nyingi sana bora nimuombe Mungu, nirudie kuwa mwanamme.. MUNGU akamwambie, SORRY.. Inabidi usubiri miezi tisa kwanza....
Yani huko ndo utakutana na matatizo makubwa bora umvumilie huyo bi mkubwa kuliko kwenda kuoa mke mwingine na itakucost mno make percent kubwa ma bi mdogo hawataki shida na utashangaa ukishamuoa anakuambia anataka nyumba kama aliyonayo bi mkumbwa mara nataka gari kama mke mwenzagu aliyonayo sa hapo kama huna hela ndo utaaendelea kuchanganyikiwa sijui utaenda kuoa mke wa tatu au la!
Mh sisemi kitu.lakini laiti wangalijua!!kwani alosema wakristo awapeani talaka ni nani? Talaka inatolewa na mahakamaaijalishi ni dini gani
Kila kitu....Hahahahahaaaahatwetweeee!!!!!!!? Kwa hiyo mke akaendelea na majukumu yote hata yale ya usiku?
Kama wewe ni mkiristo na una mke mkorofi na umechoka naye ila ukifikiria kumwacha unashindwa kwa vile divorce hairuhusiwi katika christian marriage, jaribu kufanya hivi:
Mwambie kuwa umefikiria na kuamua kubadili dini, usipoteze muda waone wahusika usilimishwe. Hatakataa wewe kubadili dini kwa vile ni haki yako. Utakapokuwa converted baada ya muda mwambie dini yako inaruhusu kuoa mke wa pili na una uwezo wa kuwatunza wote.
Bila kupoteza muda tafuta umpendaye na funga ndoa, huyo mkorofi atakuwa bi mkubwa na bi mdogo ni huyo mpya. Kama Bi mkubwa atastahimili huo ukewenza ukorofi utakuwa umeisha.
Lakini uwezekano ni kuwa atafungasha na kutokokomea ajuako yeye, utabaki na Bi mdogo ambaye with time we mwambie umetafakari na kuona huna budi kurejea ktkt dini yako ya awali.
Chukua hatua haraka na rudi kundini hapo utakuwa umeondokana na kelele, technical divorce.
Mnasemaje hapo wanaJF?
Hiyo red u meant kazi kweli kweli??? ha ha ha... I cant you...Unabadili dini unakuwa budhist hahaha! Solution ngumu kuliko tatizo,job tru tru as u wud say ? Lol!
duuuuuhhhh
ngoja mi nijaribu kwa
baba watoto mmmmmhhh
Uda'a mrembo kama wewe kukuona unalia sipendi...Kha! Kaz kwel kwel
duuuuuhhhh
ngoja mi nijaribu kwa
baba watoto mmmmmhhh