Dawa ya mkate ni chai

Dawa ya mkate ni chai

zinc

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
1,391
Reaction score
1,069
Ndugu wana JF,

Dawa ya mkate ni chai siku zote. Mkate mkavu utakukaba kwenye koo, kisha utahema juu juu bila hiyana na jasho kukutoka. Mkate mkavu ukiulowesha na chai, tena chai ya moto, sekunde tu unamaliza kuula.

Mungu ametupatia akili, ni sisi wenyewe tu wanadamu tushindwe kuzitumia
 
dwuh ni mkate tu na chai unamaanisha au kuna vingine!???
 
BLUE BAND NA MAYAI KIDOGO,,,
Coffee.JPG
 
Ndugu wana JF,

Dawa ya mkate ni chai siku zote. Mkate mkavu utakukaba kwenye koo, kisha utahema juu juu bila hiyana na jasho kukutoka. Mkate mkavu ukiulowesha na chai, tena chai ya moto, sekunde tu unamaliza kuula.

Mungu ametupatia akili, ni sisi wenyewe tu wanadamu tushindwe kuzitumia

Mbona hata Maji ya kandoro yanafaa kuufanya mkate uwe laini!?
 
Back
Top Bottom