Dawa ya minyoo kwa watoto

Dawa ya minyoo kwa watoto

henry normal

Senior Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
120
Reaction score
31
Kwema waungwana samahani mtoto anasumbuliwa na minyoo naomba kwa yeyote anayefaamu dawa nzuri ya minyoo kwa mtoto minyoo mpaka anawashwa sehem za aja kubwa.
 
Mpeleke hospitali mkuu watoto si wanatibiwa bure, na dawa za minyoo zipo sana.
 
Back
Top Bottom