Dawa ya meno Whitedent ichunguzwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya meno Whitedent ichunguzwe

Discussion in 'JF Doctor' started by kavulata, Sep 24, 2012.

 1. kavulata

  kavulata JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 2,515
  Likes Received: 987
  Trophy Points: 280
  Wako watu wengi pamoja na mimi mwenyewe ambao wakitumia dawa ya meno aina ya Whitedent wanatoka vidonda mdomoni vinavyosababisha kikohozi cha mara kwa mara. Idadi ni kubwa sasa imenibidi niwaulize wanajukwaa kama mna taarifa na madhara haya ya Whitedent. Taarifa kwa umma inahitajika kuelezea side effects hizi za whitedent. Kama unatumia dawa hii na vidonda na kikohozi haviishi kwako ama kwa mmoja wa wanafamilia yako acha kuitumia whitedent kwanza ili uone kama hali inaendelea vile vile au la. kama bado inaendelea kamuone dk. tbs sogeeni karibu na whitedent ili muuone kama kinachofanywa ni sasa huko
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,162
  Likes Received: 5,297
  Trophy Points: 280
  mkuu huenda unachosema ni kweli!kuna mtoto katika familia yangu amemaliza chupa kibao kikohozi hakiishi!!huenda ni hiyo kitu eeeh!!ngoja nifanye kijiuchunguzi!
   
 3. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 453
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naona tuko wengi. Mimi ni mtumiaji wa whitedent. Kwa muda wa kama wiki moja nimekuwa na kikohozi. Na bila kuwa na contact yoyote zaidi ya chakula maji ya kilimanjaro nimeshitukia kinywani mwangu mna aina fulani ya mild inflammation mithili ya tonsils. Naiacha whitedent toothpaste leo hii hii nione kama kutakuwa na mabadiliko.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Toothpaste zipo nyingi feki sana jitahidi kutonunua zile zinazowekwa chini na kunadiwa nunua kwa Agent wa dawa hizo,mie ni Colgate tu ndio naijua taste yake wakiichakachua naijua na pia epuka kununua za bei rahisi.
   
 5. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,562
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  ahaaaaaa! mi nae mwathiliwa aisee, natumia maji ya duka full tym bt huwa inflamation zinajitokeza
   
 6. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  hiyo dawa haifai, ukiendelea kutumia fizi zinauma na baadae kufa ganzi
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  ohooooo.....sasa nimejua......
  nikitumia hiyo whitedent meno yanakufa ganzi na ninakuwa na vidonda mdomoni......niliamua kubadilisha kwa sasa natumia forever bright (ya forever living)....ni nzurijeeeee......
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,489
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi huwa naogopa sana vitu vya bei rahisi. Imagine WD 250g bei ni 2000tshs (variable) na Colgate 100g bei ni ths 2500 (variable). Kwa vyovyote vile ubora lazima utofautiane sana tu!!!!
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  sio whitedent tuu, na mafuta ya kupaka na sabuni, ukipita mitaa ya buguruni usiku utaona hilo sok├┤ huria linavyofanya kazi
   
 10. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mmmmmmmmmm asante inaweza ikawa chanzo cha matatizo nilio nayo let me try but mbona nikiacha kutumia siku moja au mbili naumwa meno
   
 11. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,263
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mimi pia iliwahi kunipata. lakini nilinunua WD mtaani hivyo nadhani ilikuwa ime expire au ilikuwa feki.
  Niliacha WD kwa muda ila sasa natumia tena na haina shida.
  usinunue dawa kariakoo au kwenye mikokoteni!
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,425
  Likes Received: 7,956
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Aisee huenda ni kweli, nilikuwa field na nilisahau dawa na brush, so the only toothpaste l could get in the village was WD; na nikapata hiyo inflamation kiasi karibu na tonsils.
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  ndo hiyo hiyo.....
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,938
  Likes Received: 5,089
  Trophy Points: 280
  whitedent feki zipo kibaaaaao....
  Niliacha kutumia kitambo, mara ya mwisho mpaka nikaogopa nilihisi natumia chokaa badala ya dawa ya meno, nikaona isiwetabu nikaacha kutumia
   
 16. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,465
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Tumia whitedent Herbal
   
 17. k

  kisukari JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,562
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  poleni wajameni.mimi hayajawahi kunikuta
   
 18. h

  hamsinij JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuna ukweli asilimia mia
   
 19. Abbasy

  Abbasy Senior Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inaleta ukakasi kwenye meno
   
 20. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,301
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hamna zaidi aloe bright toothgel ya forever living. Rahisi inauwa.nimebakiza chache. 0713297066. Na bado mtalishwa sumu mpaka mfe!!!. Umesikia wanaokula kuku wenye arv feki wananyonyoka ngozi?
   
Loading...