scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,779
- 5,550
Dawa imetengenezwa mwaka jana mwishoni umri ni early adulthoodInawezekana dawa umenunua iliyopitwa na muda au wewe pia umepitwa muda. Umri wako pia waweza kukusababishia matatizo kama hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuuColgate ukianza kuitumia kwa mara ya kwanza inakuaga hvo inakua inakutibu kwahio usihofu
Sent using Jamii Forums mobile app