Kwani huu si 'muarubaini' vile?Hiii ndio dawa ya uhakika ya penzi
Wewe Bwana mdogo unaonyesha neno Mapenzi au penzi hulijuwi. Sitoweza kukupa faida ninakuacha kama ulivyo na akili zako ziwe hivyo hivyo unavyofikiria KikulachoChako
Yaani mimi usiponikuna tena vizuri na pesa zako utalala mbele!!!!!
Si kweli hata kidogo wapo wenye pesa wamgeachwa na wapenzi wao.
Kwani huu si 'muarubaini' vile?
Hahahaaaa....sina hakika kama haya yanatoka moyoni au kinywani mwako.....haaaahaaa...
Kweli hiyo dawa haswaaa kiboko ya dawa zote!!!!
Unatibu maradhi mengi sana tu, ufisadi,unyanganyi, ukubwa na kadhalika.Huu ndio mwarobaini wa ugonjwa unaoitwa mahaba duniani kote.....
Huwa hawaelewi kuwa hela zatafutwa hata nikikupa leo kesho nitapata zingine, ila hizo papuchi declines kila siku
Kweli hiyo dawa haswaaa kiboko ya dawa zote!!!!
Nyie tumeshawazoea.........hamriziki hata mkunwe na msasa.......Kweli tena!!!!!! moyo wangu mweupe kupakwa shombo mimi sitaki
Ha ha ha mishe vipi!!!!Oyaaa...mishe ni aje?
Nyie tumeshawazoea.........hamriziki hata mkunwe na msasa.......