Dawa Ya Mapenzi.

Bishop Hiluka zinazoisha ni zile za kuuza nyumba ya urithi.
 
Dawa ni kumuomba Mungu tu akupatie mke sahihi na si mpenzi
 
Kazana kumrundikia pesa wakati kitandani unaperform poorly,ndo utajua pesa ni dawa ya mapenzi au sio
 
Tatizo la kuitumikia pesa,kwa staili hiyo utaachwa kwa kuzikosa,tunaishi katika ulimwengu wenye mfumo wa kishetani ndo maana pesa inaonekana ndo kila ki2,kumpata mke kwa kigezo cha kuhonga usishangae akiwa pia ni mrahisi kuhongwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…