Dawa ya mapenzi

Dawa ya mapenzi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Wakubwa kumbe tunateseka na mapenzi bure. Tayari wazungu wamesha maliza kila kitu Ukitaka kula Mbususu kwa uraisi kabisa tayari wazungu wamesha tengeneza German sex drop IPO hiyo ni kwasababu ya kuwapa nyegezi tu

Ukitaka kuvutia tayari wazungu wamesha tengeneza pheromone by PHEROLAB
Hii ni parfum

Na mwisho kabisa ukitaka kudumu kwenye ndoa au mausiano tongoza wa kwako kwa uwezo wako haya mengine ni madawa ya mda tu na sio kwamba mtadumu kwenye mausiano au ndoa ukitumia madawa hayo
 
Hakuna cha dawa wala nini mnaingizwa tuu kwenye upofu wa kipuuzi..
 
Oga, chana nywele, safisha kinywa, tinga miwani myeusi, vaa boksa safi, vaa nguo za kupendeza, hakikisha laki iko mfukoni, gheto liwe safi, funguo uchwara za gari la mchongo weka mezani, ning'iniza boksi la condom gheto. Usitongoze, jaribu kula kimasihara! Hiyo ndo dawa ya mapenzi
 
Back
Top Bottom