BAOSITA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2011
- 368
- 188
Habarini wazee wa malavi davi.Excuse me,nimeamua kuandika manzi sababu ningeandika mwanamke isingevutia!
Hivi wakuu (men),mmeshawahi kuona mnaanza kupendwa na wanawake waliokuwa wanawaringia hapo awali kisa tu umeonekana una uhusiano na mwanamke mwenye kuvutia sana!???
Sasa hii kitu nimeona kwa asilimia kubwa ni dawa ya wanawake wanaonata sana!Dawa ya manzi mkali,mletee manzi mkali!!!Tena awaone mnacheka na kufurahi pamoja,kushney!Utasikia unaulizwa yule mdada mzuri umemtoa wapi jamani?Ujue YOU ARE IN THERE!