Dawa ya mafanikio...

Akiondoka huyu anaingia mteja mwanamke.Vituko ndo vinaanza - wee mama, kalumanzina hataki ufunike kifua, acha wazi.Halafu nguo ya ndani vua, dawa itaingizwa huko!
 
Hahaaaa kuku alivyodumaa kichwani mwa huyo jamaa na yeye atakuwa hivyo
 
Bado kidogo atatagia na kutotolea kifaranga hapo kichwani huyo kuku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…