Hao waliotajwa wanafanana na Lowassa, yawezekana ikawa sababu ya kuchaguliwa. Wakikatwa nao watahamia upande wa pili.Hatimaye chama tawala,CCM,kimepata dawa ya kumdhibiti mgombea wa Urais kupitia CHADEMA/UKAWA,Ndugu Edward Ngoyai Lowassa. Dawa husika inatengenezwa na wapambanaji wa ufisadi hapa nchini ambao wameapa kumuanika Lowassa ili watanzania wamjue. Tayari mikakati ya mtu-kati imesukwa.
Katika timu hiyo, itakayoshiriki bega kwa bega katika kampeni za kumnadi Magufuli,wanatajwa Sitta,Mwakyembe,Ole Sendeka,Mwigulu Nchemba,Lusinde aka Kibajaji na Nape Nnauye. Pia wapo wanaKitengo.
Upepo wa Lowassa umeonekana kuvuma kwa kasi ukisomba na kupeperusha watu na vitu. Tishio linakaribia mwisho zitakapoanza kampeni. CCM iko vizuri,itamdhibiti hadi awe mahututi kisiasa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Leo hii wakupiga kampeni watakuwa Olesendeka, Sitta na Mwigulu...???
Vuta-Nkuvute naona CCM wanajiandaa kupoteza muda wao kumtangaza Lowassa badala ya Dr. Magufuli...
Wananchi walishajua fisadi ni nani na yupi anasingiziwa...
Karibuni uwanjani...
huu mziki ni mnene hadi mwenyekeiti wenu wa ccm amepanic.
ama kweli dunia inazunguka,hii leo mimi na mzee wa chooni tunaongea lugha moja ya kuiondoa ccm madarakani!!!!Kikwete analo hili.
Sisi tunakwenda na Lowassa kwa mwendo wa Mchaka Mchaka mpaka Ikulu. Lowassa ni Rais anayesubiri kuapishwa!
Hapo kwenye red mkuu utakuwa unawadanganya, wakibandua tu mguu majimboni kwao wanakuta ilishakula kwao. Nakwambia hawa kwenye majimbo yao watakuwa wanapumulia mashine, sasa sijui kama wataweza kutembea na mitungi ya gesi huko wanakoenda kumnadi mgombea wao!! Ole Sendeka yuko mikononi mwa Milya, Mwigulu mikononi mwa Mrs. Tumbili, Nape kanyea kambi kule Mtama atakuwa anapambana na UKAWA huku Mathew akipiga beki 3 sasa sijui atachomokea wapi? Kwa ufupi Magufuli atakuwa mpweke!!Hatimaye chama tawala,CCM,kimepata dawa ya kumdhibiti mgombea wa Urais kupitia CHADEMA/UKAWA,Ndugu Edward Ngoyai Lowassa. Dawa husika inatengenezwa na wapambanaji wa ufisadi hapa nchini ambao wameapa kumuanika Lowassa ili watanzania wamjue. Tayari mikakati ya mtu-kati imesukwa.
Katika timu hiyo, itakayoshiriki bega kwa bega katika kampeni za kumnadi Magufuli,wanatajwa Sitta,Mwakyembe,Ole Sendeka,Mwigulu Nchemba,Lusinde aka Kibajaji na Nape Nnauye. Pia wapo wanaKitengo.
Upepo wa Lowassa umeonekana kuvuma kwa kasi ukisomba na kupeperusha watu na vitu. Tishio linakaribia mwisho zitakapoanza kampeni. CCM iko vizuri,itamdhibiti hadi awe mahututi kisiasa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
CCM wamechelewa sana. Na chochote kiovu watakachosema juu ya Lowasa itakuwa ni ule usemi usemao " MFA MAJI......................."
Kama Lowasa ni fisadi kwanini hawajampeleka mahakamani?
Waache umbululu, maana raisi si ametoka ccm? sasa iweje Raisi ambaye ni Amiri jeshi mkuu ashindwe kumkamata mtu ambaye wanasema ni fisadi?
Au tuache ili lidiirike lile neno alilosema John Mnyika "Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa JK"
Kweli kabisa, na ndio maana siku zote hamna mwenye nia njema na mateso ambayo wananchi tunayapata kwenye hii nchi, hawa wanasiasa wote wana malengo yao binafsi wao, familia zao na jamaa zao ila wanatutumia sisi kama mtaji tu. Huwa sipendi ninapoona wanatudanganya leo mtu fisadi kisha kesho mtu msafi au kinyume chake.Mkuu hiyo ndio siasa uchwara , jiuleze je Lowassa angebaki ndani ya ccm Chadema wangemsafisha.
Hatimaye chama tawala,CCM,kimepata dawa ya kumdhibiti mgombea wa Urais kupitia CHADEMA/UKAWA,Ndugu Edward Ngoyai Lowassa. Dawa husika inatengenezwa na wapambanaji wa ufisadi hapa nchini ambao wameapa kumuanika Lowassa ili watanzania wamjue. Tayari mikakati ya mtu-kati imesukwa.
Katika timu hiyo, itakayoshiriki bega kwa bega katika kampeni za kumnadi Magufuli,wanatajwa Sitta,Mwakyembe,Ole Sendeka,Mwigulu Nchemba,Lusinde aka Kibajaji na Nape Nnauye. Pia wapo wanaKitengo.
Upepo wa Lowassa umeonekana kuvuma kwa kasi ukisomba na kupeperusha watu na vitu. Tishio linakaribia mwisho zitakapoanza kampeni. CCM iko vizuri,itamdhibiti hadi awe mahututi kisiasa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa, tumeshona dalili maana tokea jana kuna vijibarua vimeanza kuzuka mitandaoni ya kumuhisisha mgombea pendwa na watu, hata Pasco anajua hili.
Haya yetu macho na masikio...