ukweli wa ccm leo utakuwa uwongo wenye kunuka mbele ya wa TANZANIA !!
LOWASSA NI MTU MTAKATIFU NDANI YA NAFSI ZA WATANZANIA 80% WATAKACHO ONGEA CCM MDA HUU NI SAWA NA MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA!!
Mhh!, Lowassa kawa mchafu leo kwa CCM vile kahamia upinzani? Jana akiwa CCM tena Kada, hawakuyaona hayo ! Ina maana CCM inafuga Mafisadi? Baada ya kuondoka mnayemwita fisadi " LEO "wamebaki wasafi wangapi? Sitaki kukuamini lakini kama ndiyo Mikakati, tutawauliza kwa nini aliendelea kuwa Kada wa Chama? Kwa hiyo ninyi mafuga Mafisadi? Je, asingekihama Chama hayo mgeyaibua? Kama ndiyo mlikuwa mnasubiri nini tangu hiyo kashfa iibuke hadi leo miaka isiyopungua 8!! Aluta Continua. Lowassa Raisi Wetu!!
Lakini watafute na majibu ya swali la
1. " Kwa nini iwe sasa??!!"
2. "Je asingehama!!??"
NDANI YA CCM YENU,NDANI YA NAFSI ZA WANA CCM 80% WANAMSAPOTI LOWASSA !
KAZI KWELI KWELI
MWIBA KWA NJE
MWIBA KWA NDANI
KURA YA MTU IPO NAFSINI!
SIPATI PICHA EXACTLY
**
WANA UKAWA NGUVU NA JUHUDI KUBWA KABISA ZIWEKWE JIMBONI MWA NAPE
KIBAJAJI
MWIGULU
NA WALE WOTE VIMBELEMBELE
ii
hakuna anayeweza kuzuiya mafuriko kwa mikono.
Mkuu nadhani unasahau point ya msingi, point hapa si ufisadi..Mark my words, watu wanaona ni bora huo ufisadi ufanywe na mtu wa chama chochote hata UDP lakini siyo na mtu kutoka CCM, so point hapa si ufisadi. Na hili ndilo CCM mnakosea mnadhani watu mnashindana na watu kwa moja, yaani mwe na hoja msiwe nayo issue ni kutoa CCM madarakani tu.
Usiombe kufanya ushindani na mtu aliyekata tamaa, na watu wamekata tamaa na CCM.
hakuna anayeweza kuzuiya mafuriko kwa mikono.