VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Upepo wa Lowassa umeonekana kuvuma kwa kasi ukisomba na kupeperusha watu na vitu.
Lakini watafute na majibu ya swali la
1. " Kwa nini iwe sasa??!!"
2. "Je asingehama!!??"
hakuna anayeweza kuzuiya mafuriko kwa mikono.
Huwo msemo nimeanza kuusikia siku nyingi na haubadili sema matukio ndiyo yanabadilka, wenyewe uko pale pale!
NDANI YA CCM YENU,NDANI YA NAFSI ZA WANA CCM 80% WANAMSAPOTI LOWASSA !
KAZI KWELI KWELI
MWIBA KWA NJE
MWIBA KWA NDANI
KURA YA MTU IPO NAFSINI!
SIPATI PICHA EXACTLY
**
WANA UKAWA NGUVU NA JUHUDI KUBWA KABISA ZIWEKWE JIMBONI MWA NAPE
KIBAJAJI
MWIGULU
NA WALE WOTE VIMBELEMBELE
ii
hakuna anayeweza kuzuiya mafuriko kwa mikono.
Mzee CCM ishakutupa tupa sasa ni kizungu zungu unapata. Subiri kimbunga ubebwe sasa. Unapo piga kampeni kwa mama yako ili umfukuze baba yako nyumbani unadhani ni kitu rahisi. CCM hawana kitu cha kusema Mbele ya Lowassa. Hilo weka akilini mwako.Hatimaye chama tawala,CCM,kimepata dawa ya kumdhibiti mgombea wa Urais kupitia CHADEMA/UKAWA,Ndugu Edward Ngoyai Lowassa. Dawa husika inatengenezwa na wapambanaji wa ufisadi hapa nchini ambao wameapa kumuanika Lowassa ili watanzania wamjue. Tayari mikakati ya mtu-kati imesukwa.
Katika timu hiyo, itakayoshiriki bega kwa bega katika kampeni za kumnadi Magufuli,wanatajwa Sitta,Mwakyembe,Ole Sendeka,Mwigulu Nchemba,Lusinde aka Kibajaji na Nape Nnauye. Pia wapo wanaKitengo.
Upepo wa Lowassa umeonekana kuvuma kwa kasi ukisomba na kupeperusha watu na vitu. Tishio linakaribia mwisho zitakapoanza kampeni. CCM iko vizuri,itamdhibiti hadi awe mahututi kisiasa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
​Ah hahahaaa hahaaaa na baaado watakimbia wengi zaidi ya huyu, mabadiliko hayaepukikihuu upepo grade ya hurricane katrina.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/906173-mwenyekiti-mgeja-anangoka-ccm-muda-huu.html