Habari za Muda huu wapendwa, naomba kujua nitumie Nini kuponya jicho lililovimba na linauma pia, nimeamka tu asubuhi nimejikuta hivyo ila nahisi ni kutokana na vumbi la siku mbili tatu zilizopita.