Dawa ya kuua huyu mdudu

Mijusi uliyoyaamua kuifuga mwenyewe imeanza kukusumbua .Ikifika hatua ya kukupandia kitandani na kukutambalia wakati upo usingizini utujulishe tukupe dawa
🪣🪣🪣🪣🪣🪣🪣
 
Mjusi taa ana shida mwache tu na life cycle yake INGEKUWA nyoka kweli sababu ana uwezo wakung'ata na kukuua
 
Asee ndugu yangu waache hao viumbe watimize ecosystem, unankumbusha geto langu Manzese alikuwepo ndani mmoja kila nkitaka kumuua roho inasita, siku moja nashtuka usiku wa manane namkuta kambana N'ge mkubwa mdomoni kisawasawa na alimla mpaka kammaliza.

Nikawaza ingekuwaje yule N'ge angekuja nlipolala godoro nmetandika chini sina kitanda sina net
 
Nasikia wana sumu hatari, akidondoka kwenye chakula familia nzima mnakufa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…