Dawa ya kutokwa na udenda

Charema

Member
May 11, 2012
8
0
Habari za saa hizi wana JF.

Naomba kwa yeyote anaejua dawa ya mtoto wa miezi kumi anatoa udenda.

Kuna mtu aliniambia nichukue kitumbua nikipake ule udenda halafu nimpe aidha Shangazi au Mjomba wa mwanangu ale hicho kitumbua, tatizo litakuwa limekwisha.

Nimefanya hivyo lakini tatizo bado lipo.

Nisaidieni wana JF.
 
Habari za saa hizi wana JF. Naomba kwa yeyote anaejua dawa ya mtoto wa miezi kumi anatoa udenda. Kuna mtu aliniambia nichukue kitumbua nikipake ule udenda halafu nimpe aidha Shangazi au Mjomba wa mwanangu ale hicho kitumbua, tatizo litakuwa limekwisha. Nimefanya hivyo lakini tatizo bado lipo. Nisaidieni wana JF.

Umejaribu kwenda hospital?niliwahi kusikia kwa bibi mmoja kuwa huwa wanasuguliwa na dawa ya kienyeji au majivu .watafute wamama wenye umri mkubwa wakusaidie lakini huwa unaacha kutoka automatical
 
Umejaribu kwenda hospital?niliwahi kusikia kwa bibi mmoja kuwa huwa wanasuguliwa na dawa ya kienyeji au majivu .watafute wamama wenye umri mkubwa wakusaidie lakini huwa unaacha kutoka automatical

Asante kwa ushauri nitawaona hawa kina mama wakubwa wanisaidie.
 
tafuta samaki aina ya kambale fresh halafu mlambisha mdomoi kila siku asubuhi kwa siku tatu.....
 
Back
Top Bottom