Mkuu kwan sio watamu kwa kutafuna? Nyonga si wanakata vzr tu sasa kwann unamkwepa? Ningekuwa mm Ningekuwa namgegeda kila sikuMkuu, huyu kiumbe yuko na mimi zaidi ya miaka 20 sasa mpaka pale alipoamua kujitokeza live alikuja kama binadam.
Tumehangaika sehem nyingi lakini ni kwamba katika kuhangaika anaweza akakimbia lakini hali ikitulia anarudi tena, usiku naona mambo ya ajabu mno.
Kwa sasa kuna mambo naendelea nayo katika kumuweka sawa kadri mambo yatakavyokuwa ntawaletea update kiongozi.
Lakini mkuu, haya mambo yapo kabisa kiongozi japo baadhi ya wengi huona hizi story ni kama porojo kwa sababu dunia vile wanavyoifkiria ni zaidi ya vile wanavyoichukulia mkuu.
Acha tu ndugu yangu.
Aisee pole sana.
Mkuu kwan sio watamu kwa kutafuna? Nyonga si wanakata vzr tu sasa kwann unamkwepa? Ningekuwa mm Ningekuwa namgegeda kila siku
Mpaka angekuwa anahofia kuja kwa kigegedo ambacho angekipata
Kuumbe,inaweza kuwa kama shilng ngpi?.Uzuri ni kwamba inapatikana kwa gharama ya juu sana.
Ugumu unakuja kama ulimtafuta lakn kama amejipendekeza mwwnyewe aaaah mm namgegeda mpaka angekuwa mpoleAdhabu ya kaburi mkuu, anayeifaham ni maiti tu kiongozi.
Usione watu wanatembea, wanaishi vizuri, wanakula wakitakacho, wana majumba, magari ya kifahari lakini.
Wanakutana na mengi mno kiongozi, acha tu.
Kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake mkuu.
Shukran.
***Dah, mnajua mmeyapeleka mawazo yangu mbali sana wakuu wala sio kuchepuka.
Nimejikuta nikimkumbuka JINN wangu huwa wanajisahau wakizidiwa na HISIA na kujikuta wakibadilika wanapokuwa kwenye HISIA ZA JUU sana za mapenzi na kushindwa kuji-control miili yao na kukuta akibadilika kuwa kiumbe tofauti kabisa.
Sasa, kama ukishtuka na yee hurudisha HISIA zake haraka mno kama una moyo mdogo unaweza usiendelee ku-sex nae ukatoka NDUKI.
Acheni tu wakuu dunia ina mengi hii, acheni tu.
Kama nikweli vileDah, mnajua mmeyapeleka mawazo yangu mbali sana wakuu wala sio kuchepuka.
Nimejikuta nikimkumbuka JINN wangu huwa wanajisahau wakizidiwa na HISIA na kujikuta wakibadilika wanapokuwa kwenye HISIA ZA JUU sana za mapenzi na kushindwa kuji-control miili yao na kukuta akibadilika kuwa kiumbe tofauti kabisa.
Sasa, kama ukishtuka na yee hurudisha HISIA zake haraka mno kama una moyo mdogo unaweza usiendelee ku-sex nae ukatoka NDUKI.
Acheni tu wakuu dunia ina mengi hii, acheni tu.
Poa mkuu,nakutakia mafanikio mema.Ni kweli mkuu usemacho kiongozi kwa MUNGU hakuna kinachoshindikana ndugu yangu.
Kuna mahala nipo nafanya kuweka mambo sawa mkuu.
Niombee ndugu.
Utafikiriaje wakati utakuwa umekufa..?? We lisindano la nge huyo likikamuliwa kwenye uti wa mgongo unategemea nini..?!Yakikuta hayo hutofikiria kuchepuka milele
Poa mkuu,nakutakia mafanikio mema.
Ni kweli hutafikiri tena kuchepuka kwa sababu lazima utakufa...Yakikuta hayo hutofikiria kuchepuka milele
Hizi usiwe unazi share...utafanya tuache kuchepuka bila sababu
Poa!!,pamoja sana.Amen kiongozi. Shukran.
Mkuu funguka huenda tukajifunza kitu kutoka kwakoDah mkuu.............acha tu kiongozi.