funguka mkuu usaidiwe
Mwite Yesu mkuu amshirikishe mambo yako nae atakusaidia
MKUU NAOMBA UTUELEZE SHIDA NINI TUKUSAIDIE ILKUWAJE HADI UKAFKA HAPO. HAPA KUNA WATU WATAKUSAUDIE ILI UPATE MATUNDA YA JF. IKIWEZEKANA ANZISHA UZI KABISAAA.. ILI WAKUOMBA WAOMBE NA WAVIMBOLA WAAANZE KAZI..Nashkuru mkuu kwa mchango wako na mawazo yako mamiii.
Nimepita sehem nyingi sana kiongozi ila. Inakuwa ni vita mkuu.
MKUU NAOMBA UTUELEZE SHIDA NINI TUKUSAIDIE ILKUWAJE HADI UKAFKA HAPO. HAPA KUNA WATU WATAKUSAUDIE ILI UPATE MATUNDA YA JF. IKIWEZEKANA ANZISHA UZI KABISAAA.. ILI WAKUOMBA WAOMBE NA WAVIMBOLA WAAANZE KAZI..
Kweli kabisa mkuu.Mwite Yesu mkuu amshirikishe mambo yako nae atakusaidia
Mkuu pole sana!!!,lkn ninachoamini mimi ni kwamba Hakuna lisilo wezekana kwa Mungu,Kwa hiyo wewe Mtwike Mungu Matatizo yako,yeye ni mwema sana na mnyenyekevu wa moyo hakika hata kuacha kamwe katika tabu hiyo.Mkuu, huyu kiumbe yuko na mimi zaidi ya miaka 20 sasa mpaka pale alipoamua kujitokeza live alikuja kama binadam.
Tumehangaika sehem nyingi lakini ni kwamba katika kuhangaika anaweza akakimbia lakini hali ikitulia anarudi tena, usiku naona mambo ya ajabu mno.
Kwa sasa kuna mambo naendelea nayo katika kumuweka sawa kadri mambo yatakavyokuwa ntawaletea update kiongozi.
Lakini mkuu, haya mambo yapo kabisa kiongozi japo baadhi ya wengi huona hizi story ni kama porojo kwa sababu dunia vile wanavyoifkiria ni zaidi ya vile wanavyoichukulia mkuu.
Acha tu ndugu yangu.
Duh.......huwa una duu Na jini laivu???Dah, mnajua mmeyapeleka mawazo yangu mbali sana wakuu wala sio kuchepuka.
Nimejikuta nikimkumbuka JINN wangu huwa wanajisahau wakizidiwa na HISIA na kujikuta wakibadilika wanapokuwa kwenye HISIA ZA JUU sana za mapenzi na kushindwa kuji-control miili yao na kukuta akibadilika kuwa kiumbe tofauti kabisa.
Sasa, kama ukishtuka na yee hurudisha HISIA zake haraka mno kama una moyo mdogo unaweza usiendelee ku-sex nae ukatoka NDUKI.
Acheni tu wakuu dunia ina mengi hii, acheni tu.
Duh pole ila Mungu atakusaidiaMkuu, huyu kiumbe yuko na mimi zaidi ya miaka 20 sasa mpaka pale alipoamua kujitokeza live alikuja kama binadam.
Tumehangaika sehem nyingi lakini ni kwamba katika kuhangaika anaweza akakimbia lakini hali ikitulia anarudi tena, usiku naona mambo ya ajabu mno.
Kwa sasa kuna mambo naendelea nayo katika kumuweka sawa kadri mambo yatakavyokuwa ntawaletea update kiongozi.
Lakini mkuu, haya mambo yapo kabisa kiongozi japo baadhi ya wengi huona hizi story ni kama porojo kwa sababu dunia vile wanavyoifkiria ni zaidi ya vile wanavyoichukulia mkuu.
Acha tu ndugu yangu.
Mkuu pole sana!!!,lkn ninachoamini mimi ni kwamba Hakuna lisilo wezekana kwa Mungu,Kwa hiyo wewe Mtwike Mungu Matatizo yako,yeye ni mwema sana na mnyenyekevu wa moyo hakika hata kuacha kamwe katika tabu hiyo.
Duh.......huwa una duu Na jini laivu???
Duh pole ila Mungu atakusaidia
....si kila umwonaye ni binaadam la hasha !!!
tatizo unaenda kwa waganga wanakulaghai. Nenda kwenye makanisa ya Kiroho uwaeleze watumishi wakuombee na husimame mwenyewe ukiomba.Mkuu, huyu kiumbe yuko na mimi zaidi ya miaka 20 sasa mpaka pale alipoamua kujitokeza live alikuja kama binadam.
Tumehangaika sehem nyingi lakini ni kwamba katika kuhangaika anaweza akakimbia lakini hali ikitulia anarudi tena, usiku naona mambo ya ajabu mno.
Kwa sasa kuna mambo naendelea nayo katika kumuweka sawa kadri mambo yatakavyokuwa ntawaletea update kiongozi.
Lakini mkuu, haya mambo yapo kabisa kiongozi japo baadhi ya wengi huona hizi story ni kama porojo kwa sababu dunia vile wanavyoifkiria ni zaidi ya vile wanavyoichukulia mkuu.
Acha tu ndugu yangu.
Mmmh, Nimeshtuka kweli na hii story yako..Dah, mnajua mmeyapeleka mawazo yangu mbali sana wakuu wala sio kuchepuka.
Nimejikuta nikimkumbuka JINN wangu huwa wanajisahau wakizidiwa na HISIA na kujikuta wakibadilika wanapokuwa kwenye HISIA ZA JUU sana za mapenzi na kushindwa kuji-control miili yao na kukuta akibadilika kuwa kiumbe tofauti kabisa.
Sasa, kama ukishtuka na yee hurudisha HISIA zake haraka mno kama una moyo mdogo unaweza usiendelee ku-sex nae ukatoka NDUKI.
Acheni tu wakuu dunia ina mengi hii, acheni tu.
Una date nae bado huyo kiumbe??Dah, mnajua mmeyapeleka mawazo yangu mbali sana wakuu wala sio kuchepuka.
Nimejikuta nikimkumbuka JINN wangu huwa wanajisahau wakizidiwa na HISIA na kujikuta wakibadilika wanapokuwa kwenye HISIA ZA JUU sana za mapenzi na kushindwa kuji-control miili yao na kukuta akibadilika kuwa kiumbe tofauti kabisa.
Sasa, kama ukishtuka na yee hurudisha HISIA zake haraka mno kama una moyo mdogo unaweza usiendelee ku-sex nae ukatoka NDUKI.
Acheni tu wakuu dunia ina mengi hii, acheni tu.
Aisee pole sana.Dunia hii mkuu ina mengi sana kiongozi.
Wakati anakuja hakuniambia kuwa ni JINN nilikuja kujua baadae wakati tayari tupo kwenye mahusiano mkuu.