BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,636
- 3,020
Wadau kuna mchwa unanitesa, nyumba ni mpya hata bado finishing lakoni hawa mchwa wameweka makazi chumba kimoja hadi ukuta wa chumba hicho umepasuka na hakuna kichuguu.
Wakati najenga hakukua na dalili zozote za mchwa, baada ya kuezeka ndo ukaanza kuonesha dalili za kubumba vimchanga hatimae kutoboa vishimo vidogo vidogo. Hadi sasa bado wanasimbua.
Km kuna yeyote anajua dawa au aliwahi kukutana na mkasa huu anisaidie wazo yeye alifanyaje