Dawa ya kupunguza ukubwa wa uume.

Dawa ya kupunguza ukubwa wa uume.

Anapita mtoto sembuse John Joseph kichwa wazi
Nakubaliana na mleta mada. Hii issue ni real kabisa. Hata kama hatakimbia, ila anaumia mdada wa watu hadi unamwonea huruma. Na ndio harudi tena sababu badala ya ku-enjoy anaumia. Kutumia KY ya kutosha, kumeweza kuwa suluhisho la hilo tatizo na kumfanya mdada aka-enjoy badala ya kuumia.

Kuzaa kuna mabadiliko mengi na muscular contractions ambazo sio za kawaida. Msilinganishe kuzaa na tendo hilo lingine la mara kwa mara.
 
Kuna manyambizi ya kila aina Dar ,na huwezi kuyamudu.Tafuta hele wacha matangazo ya kijinga mkuu
 
Msaada wakuu. Nimekua niki kimbiwa na mabinti wa kila aina duniani. wapi nitapata namna ya kupunguza size. Hilo tatizo linaweza kutibika?.
Au tafuta demu mzungu. Tena akijua hilo, anakutongoza mwenyewe. Hio ni kitu adimu eti. Sababu kwa wazungu na ngozi nyeupe vidude vyao ni vidogo kwa asilimia kubwa. Yani huyo demu mzungu hatakuacha milele. Na atakupa kila unachotaka dunia hii. Sema uwe tayari kumpa mzigo hata mara tatu au zaidi kila siku. Na unakuwa mtumwa kwake (sex slave) nk. Hapo ndio wengi wanashindwa. Na mambo yote kama hiyo lube nk, anagharimikia yeye.
 
Taarifa kwa uma.

sitafuti demu hapa. Bali nimeuliza kama kuna uwezekano wa kupunguza size ya ukubwa wa uume. Naona wenye vibamia mnalalamika nilipie tangazo. am sorry sitafuti demu wazee.
 
Piga nyeto itapungua tuu ata mm yang ulikuwa inafika inch 7 ila sasa ipo inch 5
 
Weka picha tuone tunakushaurije mkuu💉
 
Au tafuta demu mzungu. Tena akijua hilo, anakutongoza mwenyewe. Hio ni kitu adimu eti. Sababu kwa wazungu na ngozi nyeupe vidude vyao ni vidogo kwa asilimia kubwa. Yani huyo demu mzungu hatakuacha milele. Na atakupa kila unachotaka dunia hii. Sema uwe tayari kumpa mzigo hata mara tatu au zaidi kila siku. Na unakuwa mtumwa kwake (sex slave) nk. Hapo ndio wengi wanashindwa. Na mambo yote kama hiyo lube nk, anagharimikia yeye.
Niliwahi kupata mmoja. Alishindwa pia
 
Back
Top Bottom