Dawa ya kupunguza kitambi

Dawa ya kupunguza kitambi

rosita

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
510
Reaction score
471
1.Kopa mkopo bank
2.Nunua gari bovu la biashara.
3.Oa mwanamke mwenye kelele.
Ukifanya hayo yote kwa pamoja nakuhakikishia ndani ya miezi kadhaa kitambi kitakuwa historia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom