Dawa ya kuongeza urefu

Duh!! Hiyo price ni kama kuweka mkeka kwenye result.
Hiyo gharama ndogo hivyo !?
Dezo itanyoosha watu. Urefu na ufupi yote matakwa ya Mwenyezi Mungu. Usitafute kuwa kama fulani eg Messi na Ronaldo, urefu tofauti ila mashabiki hadi leo hii kuna utata kuwa nani ni GOAT(GREATEST OF ALL TIME).

$1.63 ?
Hii ndio price ya kuhatarisha future yako ?
That's an insult ,extremely cheap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…