Ila wanawake warefu tunachangamoto jomoniii...afu utakuta kuna kibushuti mmoja anakung'ang'aniaaaa kama luba..kifupiiii kama dawa ya mbu ya rungu...😑basi awe mpole uuuwiii wana gubu kama nyangumi

Hahahaaa mbavu zanguu...
Sasa ni pale unapogundua huyo ndo anaekupenda kwa dhati wengine wazugaji..
Wazugaji warefu ila huyo husband material anaishia tumboni..loh!