Dawa ya kuongeza ufahamu!

mhondo

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
968
342
Watu sita wa familia moja wamenusurika kufa baada ya kunywa dawa inayodaiwa kuongeza ufahamu uko Pemba. Wamelazwa hospitali baada ya kuumwa na kuonekana kuwa ni sumu, imebidi watundukiwe drip. Je mtu mwenye akili timamu inabidi anywe dawa ya kuongeza ufahamu?.
Source: ITV - Hapa na pale saa 12 jioni.
 
Hiyo dawa nadhani ilikuwa imetafutwa makusudi ili wanyweshwe wanachama na viongozi wote wa chama cha magamba ili waongeze ufahamu, maana sina hakika kama wana akili timamu. Bahati mbaya waliokunywa si wanachama wa magamba ndiyo maana ikawadhuru.
 
Back
Top Bottom