Dawa ya kunyausha Prostate Gland Anlargement (Uvimbe kwenye tezi ya kibofu cha mkojo)

SHADRACK LUTOBECK

Senior Member
Sep 29, 2013
129
18
Prostate gland anlargement (Uvimbe kwenye tezi ya kibofu cha mkojo) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi mno kwa sasa. Ugonjwa huo huweza kusababishwa na magonjwa kama vile U.T.I, kisonono,kaswende n.k.

Maabukizi ya bacteria wanaopatikana kwenye magonjwa hayo yanapofika katika tezi husabisha uvimbe.Tezi zikivimba taratibu uvimbe huo huanza kugandamiza njia ya mkojo(urethra).

Uvimbe huo huibana njia ya mkojo inakuwa ndogo hivyo hupelekea mkojo kuanza kuwa na matatzo. Dalili za ugonjwa huu pamoja na

1. Kukojoa kidogokidogo kila wakati

2. Kusikia maumivi wakati wa kukojoa

3. Maumivu makali kwenye tumbo la chini

4. Maumivu baada ya kukojoa

5. Mkojo kushindwa kutoka n.k. Kama unasumbuka na ugonjwa huo sasa basi Nina dawa ya asili inayonyausha na kukwangua uvimbe wote kwa mda wa wikinne 4 tu, dawa hii dawa nzuri sana inatibu na kuondoa kabisa tatzo hilo.

Kwa mda wa sikumbili ukianza kutumia dawa hii utaona mabadiliko makubwa mno.

Kama unaitaji dawa ntafute 0759217720.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom