Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Kwa masikitiko makubwa naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi mwenzangu ambae sijaweza kumbaini mpaka sasa amediriki kuniibia kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata sio mshahara wangu na nalazimika kukilipa.hakika nimechanganyikiwa na siamini,tafadhali naombeni ushauri na njia ya kumkamata

Kwa masikitiko makubwa
naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika
kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi
walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu
mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi mwenzangu
ambae sijaweza kumbaini mpaka sasa amediriki kuniibia kiasi kikubwa cha
pesa ambacho hata sio mshahara wangu na nalazimika kukilipa.hakika
nimechanganyikiwa na siamini,tafadhali naombeni ushauri na njia ya
kumkamata
Pole sana nenda kwenye hoteli za Wachina kanunuwe nyama ya chura iliyopikwa vizuri kisha tia ndani ya mkate nenda nayo kazini wape unao watuhumu wale huo mkate aliyeiba atasema yeye mwenyewe pasipo na kumwambia wewe ndio uliyoiba. Au kama utashindwa wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa Fewgoodman@hotmail.com utanitajia watu wote unao fanya kazi nao kwa majina yao kamili na jina lako mimi nitakwambia nani aliyekuibia ila itabidi unilipe pesa.Kwa masikitiko makubwa naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi mwenzangu ambae sijaweza kumbaini mpaka sasa amediriki kuniibia kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata sio mshahara wangu na nalazimika kukilipa.hakika nimechanganyikiwa na siamini,tafadhali naombeni ushauri na njia ya kumkamata