Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwetu tunaona kambale wanafufuka kila mwaka bila chemicals
Hahahahaha ni kwelii angalia video01 April raha sana
Una amka upyaaWakikufufua unarudi na kumbukumbu zako??
Hii nzuri sana, kuna watu na vitu nimefanya juhudi kuvisahau ila wapi.Una amka upyaa
Hii nzuri sana, kuna watu na vitu nimefanya juhudi kuvisahau ila wapi.
Hapana, ni ufipa nataka ifutike na niisahau kabisa kama imewahi kuwepo.Itakuwa ya kuwa mfuasi wa kijani wakati wanazingua kila leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana, ni ufipa nataka ifutike na niisahau kabisa kama imewahi kuwepo.