Natafuta pesa
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 287
- 396
Habari,
Kidole kinaanza kuvimba na maumivu kwa mbali, msaada mwenye kujua dawa ya kutibu kabla hakijavimba sana,
Sitaki kivimbe hadi ifikie hatua ya kutumbua, tafadhari mwenye kujua dawa ya kuyeyusha huu uvimbe unaoanza na haya maumivu,
Nawasilisha.