hahaha umenichekesha sasa wewe vipi hauna kitambi maana kama nyote mnavyo shughuli inakuwa pevu kunako.wandugu msaada,mke wangu ana kitambi mpaka namuogopa,je akiwa mjamzito si kitaburuza chin,msaada jamani afanyeje kiondoke kabisa kama si kupungua
Hata mimi mwanamke mwenye kitambi simfagilii,wangu anacho lakini cha mbali ila nampondea kila siku naona anaona noma flani kwahiyo anajaribu ku-maintain.wandugu msaada,mke wangu ana kitambi mpaka namuogopa,je akiwa mjamzito si kitaburuza chin,msaada jamani afanyeje kiondoke kabisa kama si kupungua
hahaha umenichekesha sasa wewe vipi hauna kitambi maana kama nyote mnavyo shughuli inakuwa pevu kunako.
ila mwambie ajaribu pia kutumia juisi ya celeli. achuchukue majani yake asage, achanganye na ndimu/limao mbili na punje tatu va vitunguu swaumu, angalau kila siku apate glass moja asubuhi, mchana na jioni anaweza kuongeza kijiko cha asali akipenda. Juisi hii ni nzuri zaidi ya kupuguza unene pia inaondoa sumu mwilini na kusaidia kibofu cha mchojo hasa wale waosumbulia na UTI za mara kwa mara..
Asione uvivu kutengeneza.
Nilikuwa na dalili zote za manyama uzembe, nikipiga mswaki tumbo linatikisika kutu kutu kutu nikaona shida!
Nikapunguza bajeti za kwenda kwenye viti virefu na yule mdudu walau kwa mwezi mara moja au mbili tu. Pia Nikasahau mlo wa asubuhi kabisa, mchana napata sles mbili za mkate na soda, ila maji nikawa nakunywa sana full chakula ni usiku tu tena saa moja au mbili.
Baada ya miezi minne, minyama kwishney na karatiba naendelea nako!
ninataka nisile chakula chochote siku nne bali ninywe maji tu nitafanikiwa?
Soda?bado hujatatua tatizoNilikuwa na dalili zote za manyama uzembe, nikipiga mswaki tumbo linatikisika kutu kutu kutu nikaona shida!