Dawa ya kitambi hii hapa

kama unakunywa beer wacha beer inaleta sana kitambi , kunywa pombe kali
jaribu kula maharage sana na mboga za majani , wacha na mchele au chips
 
kuwa vegan...
muda mfupi kitaisha...
pia ufunge siku kadhaa kwa kushindia maji yaliyochanganywa na limao.
 
Ni simpo..???? Are u serious mkuu..?? Au umeamua kumdanganya jamaa. Zoezi la kitambi ni shida aisee. Sema kwamba KUKIPATA NDIO SIMPO, kama kumeza mate vile. Ila kukitoa ni hatari. You must sacrifice urself...'!!

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
Niliwahi kumuuliza huko juu kama ana moyo, kwani mazoezi ya kukata kitambi ni simple lakini uwe na moyo wa kuyafanya. Kwa kupitia hicho kigodoro na vitairi mazoezi yake ni simple kama mchezo tu, but inahitaji moyo.
 
Back
Top Bottom