Habari!Jamani naomba kwa anayejua dawa ya vidonda kama hiki tupeane ushauri.
Historia ya kidonda
Alipata ajali miaka mitano iliyopita ametibiwa KCMC, Mt. Meru, Mawenzi, St. Joseph, NSK Arusha, bila mafanikio.
Amefanyiwa operation mbili kuondoa tissue zilizokufa, amefanyiwa skin draft mara mbili bila mafanikio.
Vipimo
X ray mara tatu
Sukari hana
UKIMWI hana
Amefanyiwa vipimo vyote kabisa hana tatizo lolote ila kidonda hakiponi.
Ni matumaini ya kuwa kwenye jukwaa hili kuna wajuzi wa mambo haya.
View attachment 1290093View attachment 1290094
MCHANGO WA WADAU:
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupa dawa konki, Tafuta ganda la kononkono lile kubwa kabisa liunguze upate jivu lake, utakuwa unaweka hapo kwenye kidonda kitakauka hata kama umetupiwa jini.Jamani naomba kwa anayejua dawa ya vidonda kama hiki tupeane ushauri.
Historia ya kidonda
Alipata ajali miaka mitano iliyopita ametibiwa KCMC, Mt. Meru, Mawenzi, St. Joseph, NSK Arusha, bila mafanikio.
Amefanyiwa operation mbili kuondoa tissue zilizokufa, amefanyiwa skin draft mara mbili bila mafanikio.
Vipimo
X ray mara tatu
Sukari hana
UKIMWI hana
Amefanyiwa vipimo vyote kabisa hana tatizo lolote ila kidonda hakiponi.
Ni matumaini ya kuwa kwenye jukwaa hili kuna wajuzi wa mambo haya.
View attachment 1290093View attachment 1290094
MCHANGO WA WADAU:
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitumia dawa gani?Nawashukuru wote walionitia moyo mungu awabariki sana,,mgojwa alipona kabisa ni Jambo la kumshkuru mungu[emoji120][emoji120][emoji120]
Pole sana mkuu, unamaanisha ni Donda ndugu au??Jamani naomba kwa anayejua dawa ya vidonda kama hiki tupeane ushauri.
Historia ya kidonda
Alipata ajali miaka mitano iliyopita ametibiwa KCMC, Mt. Meru, Mawenzi, St. Joseph, NSK Arusha, bila mafanikio.
Amefanyiwa operation mbili kuondoa tissue zilizokufa, amefanyiwa skin draft mara mbili bila mafanikio.
Vipimo
X ray mara tatu
Sukari hana
UKIMWI hana
Amefanyiwa vipimo vyote kabisa hana tatizo lolote ila kidonda hakiponi.
Ni matumaini ya kuwa kwenye jukwaa hili kuna wajuzi wa mambo haya.
View attachment 1290093View attachment 1290094
MCHANGO WA WADAU:
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipona kwa dawa gani?Nawashukuru wote walionitia moyo mungu awabariki sana,,mgojwa alipona kabisa ni Jambo la kumshkuru mungu[emoji120][emoji120][emoji120]
Pole sana kwa huyo mgonjwa wako ninakupa huduma ya kwanza kabla hujanitafuta kwa wakati wako kila anapo amka asubuhi akojoe mkojo wake wa kwanza katika glasi kisha amwagie katika hicho kidonda afanye hivyo kila siku asubuhi kama ni kidonda cha kawaida atapona lakini kama ni kidonda cha uchawi itabidi unitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia apate kupona maradhi yake augue pole.Jamani naomba kwa anayejua dawa ya vidonda kama hiki tupeane ushauri.
Historia ya kidonda
Alipata ajali miaka mitano iliyopita ametibiwa KCMC, Mt. Meru, Mawenzi, St. Joseph, NSK Arusha, bila mafanikio.
Amefanyiwa operation mbili kuondoa tissue zilizokufa, amefanyiwa skin draft mara mbili bila mafanikio.
Vipimo
X ray mara tatu
Sukari hana
UKIMWI hana
Amefanyiwa vipimo vyote kabisa hana tatizo lolote ila kidonda hakiponi.
Ni matumaini ya kuwa kwenye jukwaa hili kuna wajuzi wa mambo haya.
View attachment 1290093View attachment 1290094
MCHANGO WA WADAU:
Sent using Jamii Forums mobile app
Akishindwa Bingwa mzizikqvu udisite kunitafuta nitakuelekeza la kufanyaPole sana kwa huyo mgonjwa wako ninakupa huduma ya kwanza kabla hujanitafuta kwa wakati wako kila anapo amka asubuhi akojoe mkojo wake wa kwanza katika glasi kisha amwagie katika hicho kidonda afanye hivyo kila siku asubuhi kama ni kidonda cha kawaida atapona lakini kama ni kidonda cha uchawi itabidi unitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia apate kupona maradhi yake augue pole.
Mkuu umefunga PM yako, mtu akitaka huduma yako private anakupataje?Pole sana kwa huyo mgonjwa wako ninakupa huduma ya kwanza kabla hujanitafuta kwa wakati wako kila anapo amka asubuhi akojoe mkojo wake wa kwanza katika glasi kisha amwagie katika hicho kidonda afanye hivyo kila siku asubuhi kama ni kidonda cha kawaida atapona lakini kama ni kidonda cha uchawi itabidi unitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia apate kupona maradhi yake augue pole.
Mkuu huu mrejesho haujakamilika watendee haki wachangiaji na wasomajiNawashukuru wote walionitia moyo mungu awabariki sana,,mgojwa alipona kabisa ni Jambo la kumshkuru mungu[emoji120][emoji120][emoji120]
Watu wanapenda kujua katumia Tiba gani? Mtu kimya.Mkuu huu mrejesho haujakamilika watendee haki wachangiaji na wasomaji
Mkuu sijafunga PM yangu labda Moderator waJF wamenifungia hiyo PM yangu.Mkuu umefunga PM yako, mtu akitaka huduma yako private anakupataje?
Kweli imefungwa, naomba njia nyingine ninayoweza kukupata kwenye faraghaMkuu sijafunga PM yangu labda Moderator waJF wamenifungia hiyo PM yangu.
Mpe imail yako,Mkuu sijafunga PM yangu labda Moderator waJF wamenifungia hiyo PM yangu.
Hongera sana aiseeNawashukuru wote walionitia moyo mungu awabariki sana,,mgojwa alipona kabisa ni Jambo la kumshkuru mungu[emoji120][emoji120][emoji120]
Nilipata wafadhili ndugu alitibiwa nairobi hospital
Kote huko tulienda ngoma ikawa ngumu,,,ushauri wangu kwa wanajamiiforums wote tutafuteni hela,,,kama siyo mkono wa mungu na fedha mgonjwa angepotea,,,namshkuru mungu sana[emoji120][emoji120][emoji120]Inafikirisha. Ugonjwa ulioshindwa kutibiwa Tanzania umewezekana Kenya?
Mlijaribu pia MNH? Unajua matibabu sahihi yanategemea diagnosis sahihi.