Hiki kidonda ni kizuri kina matumaini ya kupona.
Kwanza zingatia sana chakula cha mgonjwa, immune system inajengwa na chakula bora hasa nyama. Mboga, matunda na nafaka pia ni muhimu.
Kama ataweza kutokitia maji au kidonda kioshwe mara akimaliza kuoga.
Kuosha kidonda: hakikisha unazingatia usafi.
Chemsha nusu litre ya maji, yakiwa yanachemka weka chumvi 1/2 ya kijiko cha chai.
Taarisha bakuli, weka maji yaliyochemka na uweke vipande vya pamba au gauze hii utaipata pharmacy.
Acha maji kwa nusu saa mpaka yapoe. OSHA mikono yako na kisha chuku a pamba usafishe kidona. Pamba uliyosafishia weka kwenye mfuko wa uchafu.
Funika kidonda kwa plasta au bandage. Hivi utanunua pharmarcy. Kama utaweza kupata bandage za silver ni nzuri. Kipe kidonda nafasi ya kupona unaweza kusafisha kila baada ya siku moja. Kikiwa kinatoa maji mengi itabidi usafishe kila siku.
Ukiona dalili za usaha nendeni kwa daktari.
Kienyiji tumeshaenda tupigwa kama laki sita na nusu kidonda kipo pale pale,kwanza kwa waganga ndo kinatota kabisa.This may sound weird but for the sake of her/his life..Watembelee wataalamu wa kienyeji.
Sukari hana, vipimo vya kansa hatujafanya.Mie sio mtaalamu ila sukari yake vipi? Cancer mmepima?
of course kinasababisha vizuri sana,.jaribuni kupima kansa pia. Mama yangu alikua na jipu likakamuliwa kikawa kidonda na bika kujua akawa anatibu kidonda lakini hakifungi io ni ndani ya mwaka mmoja,.mwezi uliopita akaenda hospital akakutwa ana kansa,uzuri ni kua haijasambaa ipo kwenye kidonda tu.
Asante kwa ushauri Mkuu,hiki kidonda kina miaka mitano sasa na ilikuwa ni ajali ya kawaida kabisa.of course kinasababisha vizuri sana,.jaribuni kupima kansa pia, Mama yangu alikua na jipu likakamuliwa kikawa kidonda na bika kujua akawa anatibu kidonda lakini hakifungi io ni ndani ya mwaka mmoja,.mwezi uliopita akaenda hospital akakutwa ana kansa,uzuri ni kua haijasambaa ipo kwenye kidonda tu.
kwaio kidonda chochote kikikaa mda mrefu hakifungi kinaweza sababisha kansa,mpelekeni mkamcheki kansa pia,
Sent using Jamii Forums mobile app
of course kinasababisha vizuri sana,.jaribuni kupima kansa pia, Mama yangu alikua na jipu likakamuliwa kikawa kidonda na bika kujua akawa anatibu kidonda lakini hakifungi io ni ndani ya mwaka mmoja,.mwezi uliopita akaenda hospital akakutwa ana kansa,uzuri ni kua haijasambaa ipo kwenye kidonda tu.
kwaio kidonda chochote kikikaa mda mrefu hakifungi kinaweza sababisha kansa,mpelekeni mkamcheki kansa pia,
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri mkuu ,dawa za kienyeji tumeshatumia sana kaka bila mafanikioNiliwahi ona mtu akipona kwa maji maji (juice) ya mmea wa alovera, kamua kasha maji yake mwagia kwenye kidonda!!!!
Kwasasa mnatumia dawa gani mkuu,?Mjomba angu alipataga ajali alipata kidonda mguuni! Kidonda kilihangaikiwa hicho watu wakachoka! Sasa mwaka wa 15 huu anakidonda...kipo hivyohivyo, hakina dalili yakupona! Na ukikiacha siku 3 tu haujakisafisha utakutana na funza km Mia hivi! Kina harufu mnoo! Pole Sana...fanyeni maombi mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia unaweza kwenda kwa Dr ABBAS kariakoo yeye ni hodari wa kutibu vidonda vya kisukari, nashauri hivyo hata kama hana sukari, kwa uzoefu wake nadhani anaweza saidia,Asante kwa ushauri mkuu ,dawa za kienyeji tumeshatumia sana kaka bila mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app