PostGE2025 Wito kwa Samia: Kama unaweza Mama nakushauri tembelea page ya Mange X halafu tafuta faragha fanya Ibada

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
756
Reaction score
1,527
Mama nimetazama tena zile video za “Kazi Yako” ya Tarh 29/10/2025 nikasema hadharani unaonekana upo Imara lakini nadhani ukibaki peke yako katika faragha zako bila shaka unailaani siku waliyokupa Urais.

Nimetazama zile video na nikashuhudiwa wazi wazi moyoni kwamba pengine EL NINO inayotangazwa sana na wapambe wako si mvua kama mvua za kawaida tunayoitarajia bali ni balaa kubwa litakalokukumba wewe kwa mara nyingine tena na nchi kwa ujumla; I see some ominous & menacing clouds hovering above Mama.

Nimepata pia wazo kuwa ile Tuzo ya European Union waliyoshinda ICC hapa majuzi ingekuwa heri kwako kama angeshinda Lissu kuliko walivyoshinda ICC. Napata hisia ICC watataka kuonyesha kuwa taasisi yao bado iko relevant. Pole sana Bi Mkubwa hapo mbele panaonekana kugumu mno. Sorry😢
 
1793357308696.png
 
Hamna Raha kama ile unaapishwa kwenye uwanja wa Benjamin mkapa upo full house halafu unakula kiapo cha kutongoza nchi huku ukishangiliwa kwa zile kelele ,vifijo na nderemo....Mambo ya kwenda kuapishwa kwenye viwanja vya JW binafsi ilinipa tafakuri kubwa .. anyway I don't,we don't know and we'll never know exactly who proposed the idea kwenda kuapishwa huko with limited number of participants
 
Ilishapita ,usidanganywa na ujinga ..Watu wanaishi mara moja tu ,hta afe waliokufa hawarudi...Siku nyingine hamtoita watu mashekhe ubwabwa ,mna dharau sana halafu mnaleta huruma.😝
Watu wanakufa, watu wanazaliwa, ila nyuma ya tunachokiona ,kila tukio linabadili hali kwake, Kwetu au kwa Taifa.

"To every action there is equal and opposite reaction"
 
Wote tutakufa ,kifo sio adhabu
.Ni ujinga kuwaza eti kufa ni adhabu ila kufa kizembe ni kujitakia.
 
Mama nimetazama tena zile video za “Kazi Yako” ya Tarh 29/10/2025 nikasema hadharani unaonekana upo Imara lakini nadhani ukibaki peke yako katika faragha zako bila shaka unailaani siku waliyokupa Urais.

Nimetazama zile video na nikashuhudiwa wazi wazi moyoni kwamba pengine EL NINO inayotangazwa sana na wapambe wako si mvua kama mvua za kawaida tunayoitarajia bali ni balaa kubwa litakalokukumba wewe kwa mara nyingine tena na nchi kwa ujumla; I see some ominous & menacing clouds hovering above Mama.

Nimepata pia wazo kuwa ni heri ile Tuzo ya European Union waliyoshinda ICC hapa majuzi ingekuwa heri kwako kama angeshinda Lissu kuliko walivyoshinda ICC. Napata hisia ICC watataka kuonyesha kuwa taasisi yao bado iko relevant. Pole sana Bi Mkubwa hapo mbele panaonekana kugumu mno. Sorry😢
Chura kiziwi anayeleta waganga sijui kutoka Comoro, anadhani ana akili kumbe matope kichwani. Anafurahia kuua fala huyo. HATUMTAKI
 
Hamna Raha kama ile unaapishwa kwenye uwanja wa Benjamin mkapa upo full house halafu unakula kiapo cha kutongoza nchi huku ukishangiliwa kwa zile kelele ,vifijo na nderemo....Mambo ya kwenda kuapishwa kwenye viwanja vya JW binafsi ilinipa tafakuri kubwa .. anyway I don't,we don't know and we'll never know exactly who proposed the idea kwenda kuapishwa huko with limited number of participants
Waliofanikisha ule ushindi wa kishindo wa 98% ndo walimpeleka kuapishwa kule ngomeni.
 
Back
Top Bottom