happymwashi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 980
- 847
MTAFUTE PROFESA MAJINGE ANAPATIKANA HOSPITALI YA DCMC DODOMA KWA UWEZO WA MUNGU TATIZO LITAKWISHA NA ATAPATA ZAIDI YA HUYO 1 MKUU.Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo sema, Mke wangu anatatizo la hormone imbalance, hivyo hawezi kubeba ujauzito, Naombeni msahada wa tatizo hili au dawa ambayo inaeza kumsaidia abebe ujauzito angalau Mtoto mmoja tu. Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanamke alitumia hivyo vidonge vya majira ya uzazi alikuw ana hilo tatizo la Hormone Imbalance tatizo lake likaondoka kwa muda.Baada ya muda limerudi hivi sasa mimi ndio ninaye mtibu kuzirekebisha hizo Hormone Imbalance. Hakuna Dawa ya kutibu hayo matatizo ya Hormone Imbalance Ma-hospitalini hakuna dawa. Dawa za Asili za kurekebisha Hormone Imbalance zipo.Mimi siyo daktari, lakini nina ushuhuda wa tatizo hilo. Fanya hivi.
Atumie vidonge vya majira. Mfululizo kwa miezi mitatu tatizo litakwisha. Siku zake zitarejea.
Pm kuna dk yupo Dom nikuagizie kk
Anaetak kujua aje pm nitamwelekeza bure kabisa over
Nenda Dodoma Christian Medical centre kwa prof Majinge mtaalambwa haya mamboNakuja unielekeze mama
Tatizo la hormone imbalance kwa mwanaume inakuaje mkuu ?Mimi ninayo dawa ya kumtibu mke wako hayo maradhi ya Hormone Imbalance nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia mke wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Mkuu nataka kuwasiliana nawe Pm umezuiaMlonge ni suluhisho la tatizo la mkeo.(Nina ushuhuda wa kutosha) Ukihitaji ni pm nikupe mlonge na maelekezo ya matumizi.
Ajaribu kwenda kairuki hospital aonane na dactari wa wanawake anaitwa Deborah yupo vizuri kwa mambo hayo
Ajaribu kwenda kairuki hospital aonane na dactari wa wanawake anaitwa Deborah yupo vizuri kwa mambo hayo