Dawa ya Gesi ya tumbobi

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Wadau habarini
Nina matatizo ya kutoa gesi tumboni(bloating). Wataalam mnisaidie maana nimetumia Unenzyme lakini haijasaidia.
Cc Riwa
 
Last edited by a moderator:
Tafuta Alumag(viscid) gel mkuu na unywe 10 mls kila baada ya masaa nane hali ikiendelea njoo hospitali.
 
Mara yangu ya mwisho kunywa pombe ilikuwa mwaka 1990 tena Mbege kule mgombani

Hata mimi niliwahi kuwa na matatizo ya gesi na kiungulia.Dr aliniambia sababu ni pombe!Nilifanyiwa vipimo vingi kabla ya dawa! Nakushauri pia usianze kutumia madawa kabla hujaonana na daktari mtaalamu wa tumbo!ili ajue ukubwa wa tatizo lako.
 
Back
Top Bottom