Heshima mbele wakulu!
Ninasumbuliwa sana sana na Fungus sa miguuni na Muwasho na michubuko pembeni mwa mapumbu/mapajani.Nimeshatumia dawa kama Daktarin Powder kwa miguu,zinanisaidia sana,lakini nikiacha ck 2 au 3 zinarudi upya,mapajani ninatumia cool powder,prickle heat etc..bado hazinisaidii sana.
Nataka kutibu haya matatizo moja kwa moja,wenye uzoefu na utaalamu tafadhali naomba msaada.