Dawa Ya Elimu kwa wa-Tanzania....

Dawa Ya Elimu kwa wa-Tanzania....

Domenia

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
462
Reaction score
23
wakati najia andaa kutupia hoja jiulize yafuatayo...
Ina kua aje? wanafunzi waliopata alama za chini za ufaulu ndio wachaguliwe kwenda kusoma uwalimu..??.
wanafunzi walio maliza kidato cha nne wengi wao bado ni vijana- watoto..!! kwanini serikari isitoe nafasi ya kurudia kwa hiari wanafunzi walio shindwa kufaulu vizuri mitiani yao ya kidato cha nne?
kilimo kitafanikiwa bila elimu?
je serikari inajua idadi kubwa ya watu wake ni watoto?
 
je serikari inajua idadi kubwa ya watu wake ni watoto?[/QUOTE]

huo mstari wa mwisho ni muhimu sana. Yatupasa kujua idadi ya watu japo kwa asilimia kwa makundi ya kiumri
mfano
Umri 0- 5 =
6-17
18-30
31 - 50
51 - 60
61-90
Over 90
 
wakati najia andaa kutupia hoja jiulize yafuatayo...
Ina kua aje? wanafunzi waliopata alama za chini za ufaulu ndio wachaguliwe kwenda kusoma uwalimu..??.
wanafunzi walio maliza kidato cha nne wengi wao bado ni vijana- watoto..!! kwanini serikari isitoe nafasi ya kurudia kwa hiari wanafunzi walio shindwa kufaulu vizuri mitiani yao ya kidato cha nne?
kilimo kitafanikiwa bila elimu?
je serikari inajua idadi kubwa ya watu wake ni watoto?
Hapo kwenye bold tunaliita janga la kitaifa..!! ukweli ni kwamba hadhi ya waalim nchini imeshuka, kwa sababu hiyo basi mtu yeyote anaefaulu vizuri hayuko tayari kwenda ualimu (kufa masikini) ndio maana wanakimbilia kwengineko, na yale masalio yaliyobaki, nowhere to go, ndio wanakua waalim wetu.. very simple technique...
 
Kuna mzungu mmoja alivyojua kuwa mimi ni mwalimu aliniheshimu sana na hasa baada ya kukataliwa na wanafunzi wa kidato cha tatau ilihali mimi nafundisha kidato cha nne. Lakini siku aliyojua mshahara wangu hakuamini mpaka nilipomletea salary slip na alienda kuidhibitisha kwa mwanasheria, kwa kuwa hakuamini kiwango cha mshahara. Hao walifeli wakitulia wanafundisha vizuri tu. hata ufaulu wa nchi hii kwa miaka ya nyuma ulitokana na hao waalimu waliofeli. Dawa hapa ni kuongeza posho.
 
Kweli mishahara ya walimu iwe at least asilimia kumi ya mishahara ya wabunge!!
 
Hata wabunge nao wanadai mishahara yao bado ni midogo!!..tuacheni ubazazi mshahara mkubwa hauna uhusiano wa moja kwa moja na ubora/ufanisi wa kazi.
 
Janga jingine hili..
 
Hata bunge la katiba lina taka mshahara Mkubwa...!!
 
Nikweli kama tabia tu kwa hapa tanzania mwalimu huchukuliwa kwa marks za kiwango cha chini ila uzuri wake wafikapo chuoni licha ya kufanya masomo ya ualimu pia hurudia masomo anayoenda kudundisha shuleni kwa kudundishwa tena na wakufunzi ili wawe wafanisi kazini. Hivyo wanaozingatia huwa wazuri sana ingawa walienda na marks za chini na wasiozingatia kiukweli ni la mtu mmoja mmoja ambapo kila secta wapo na wengine huenda hata sifa za kusoma ualimu hawana.Kimsingi serikali ibadilike sasa ikitaka kuinua secta hii mama, iweke kiwango chaufaulu kizuri kujiunga na ualimu na kuwajengea mazingira mazuri wale wanaenda kufundisha shule za vijijini na mishahara itakayomfanya aone hajapotea kusomea huo ualimu. SERIKALI WAJALINI WALIMU ILI WAFUNDISHE VIZURI NA KWA MOYO MKUNJUFU, EBU TUANGALIE SHULE ZA BINAFSI ZINAVYOFANYA VEMA ALAFU PIA FUATILIA WANAVYOLIPWA
 
Iwe ni lazima mwalimu wa shule ya msingi awe na shaada moja ya kuanzia ya ualimu wa watoto
 
Back
Top Bottom